
Brochures
Vipeperushi vya matangazo na taarifa za biashara kwa ubora wa kitaalamu.
KP GROUP TZPRINT • DESIGN • BRANDING
Tunatoa huduma za uchapaji wa hali ya juu kwa bidhaa mbalimbali kwa ubora, haraka na bei nafuu.


Vipeperushi vya matangazo na taarifa za biashara kwa ubora wa kitaalamu.

Kalenda za mezani na ukutani kwa matumizi ya kampuni na matangazo.

Daftari za kumbukumbu zenye branding ya kampuni au taasisi.

Vitabu vya risiti, invoice na delivery note vya nakala nyingi.

Magazine na catalog zenye uchapaji safi na finishing bora.

Business cards za kisasa kwa kampuni, biashara na wafanyakazi.

Letterhead rasmi zenye utambulisho wa kampuni yako.

Company profile zilizodesign na kuchapishwa kwa mwonekano wa kitaalamu.

Packaging boxes za sabuni na bidhaa nyingine kwa print ya ubora.

Posters za matangazo kwa size mbalimbali na rangi zenye ubora.

Flyers za biashara, promosheni, event na matangazo.

Uchapaji wa karatasi, documents na forms kwa quantities mbalimbali.

Gazebo zenye branding kamili kwa events, promotions na exhibitions.

Rollup banners, teardrop flags na telescopic flags za matangazo.

Large-format printing kwa banners, vinyl, backlit, stickers na posters.

Mugs zenye picha, logo au ujumbe maalum.

Mugs za metallic finish zenye branding ya kudumu.

Travel mugs zenye logo, jina au ujumbe wa kampuni.

Phone cases zenye custom print, logo au picha.

Pop holders zenye branding na custom artwork.

Chupa za maji zenye picha, logo au majina ya wateja.

Mito yenye picha, logo, message au custom design.

Sequin pouches na accessories zenye custom print.

T-shirt na polo zenye DTF, screen print, pigment au embroidery.

Keyholders zenye picha, logo au jina la kampuni.

Glass mugs zenye custom print kwa zawadi na promosheni.

Embroidery ya logo na majina kwenye nguo, caps na uniforms.

Miavuli yenye logo na branding kwa biashara na promotions.

Overalls na workwear zenye branding ya kampuni.

Caps zenye embroidery, DTF au transfer printing.

Paper bags zenye logo na design ya biashara yako.

UV printing kwenye bidhaa na surfaces mbalimbali.

Reflector vests zenye logo, jina la kampuni na safety branding.

Screen printing kwa T-shirts, uniforms, bags na quantities kubwa.

Transfer printing kwa nguo nyeusi na nyeupe kwa artwork zenye rangi.